CHUCHU HANS: SIFIKIRII KUJA KUACHANA NA RAY


Mpenzi wa muigizaji wa filamu, Vincent Kigosi aka Ray, Chuchu Hans amekanusha uvumi kuwa amepigwa chini na Ray na kudai kuwa hategemei kama watakuja kuachana.
Chuchu amekiambia kipindi cha Take One cha Clouds TV kuwa wameamua ...
kubadilisha aina ya maisha yao kwa kutopiga picha hovyo na kuweka mitandaoni.

“Sifikirii hicho kitu kuachana na Ray kiukweli sifikirii na kila kitu kinaenda kwa riziki na kama riziki yangu itakuwa imeisha basi nitaikubali hali. Lakini sifikirii hicho kitu kabisa,” alisema Chuchu ambaye naye pia ni muigizaji wa filamu.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA