Mnada wa mali za balozi za Uhonanzi, Norway, Sweden na Uingereza na DFID



UBALOZI WA NETHERLANDS, NORWEGIAN, SWEDEN, BRITISH COUNCIL NA DFID 

MNADA WA HADHARA:

UNIVERSAL AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na Ubalozi wa Netherlands, Norwegian, Sweden, British Council na DFID watauza kwa mnada wa hadhara Magari & Fanicha za nyumbani na ofisi tarehe 21 Feb, 2015 Jumamosi saa 4.00 asubuhi. Mnada utafanyika Golden Resort Sinza, Lion Street. MALI ZITAKAZOUZWA: Sofa sets, Dining table, Coffee table, Chest drawer, Vitanda, Magodoro, Meza za Computer, Book shelve, Meza za ofisi na Viti, File cabinet, Fridge ,Majiko , TV sets, Radio call, Washer, Dryer, Computer, Printers, Heavy duty Ups 3KVA, Safe kubwa na ndogo, A/c split units Etc.

MAGARI/PIKIPIKI ZITAKAZOUZWA:

Idadi
Aina
Model
Mwaka
Ushuru
1
Nissan Patrol S/Wagon
TD 42 T107CD112
2005
Bado
1
Nissan Safari S/Wagon
VRGY60
1995
Umelipwa
1
Nissan Patrol S/wagon
TK-520521-5G752
1992
Bado
1
Subaru Forester
JFISF63
2000
Umelipwa
1
Suzuki Carry P/Up
DA32T
2001
Umelipwa
1
Leyland DAF FTG
Truck (Horse)
2003
Bado
1
Suzuki Motorcycle
TF125
2006
Bado
2
Daikin Air cooled water Chiller
113KW
2005
Bado

Mali zote zinaweza kukaguliwa Golden Resort Sinza, Lion Street tarehe 19 mpaka 20 Feb, 2015 kuanzia saa 4.00. asubuhi mpaka saa 10.00 jioni.

MASHARTI YA MNADA:

  1. Mnunuzi wa fanicha atatakiwa kulipa malipo yote pale pale. Na mnunuzi wa gari atatakiwa kulipa 25% pale pale na salio lilipwe ndani ya siku 7 ukishindwa kulipa kwa muda huo gari litauzwa tena na dhamana haitarudishwa. 
  2. Mali zote zitauzwa kama zilivyo. 
  3. Mnunuzi atawajibika kulipa ushuru. 
  4. Mali yote iliyouzwa itatakiwa kuondolewa siku hiyo hiyo baada ya kulipia malipo yote pamoja na ushuru 

Kwa maelezo zaidi waone:

UNIVERSAL AUCTION CENTRE
NKRUMAH STREET MKABALA NA CO-CABS
SIMU NA: 0754-284 926, 0767 284 926 Email : universalauction@hotamail.com
DAR ES SALAAM.




Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA