RAIS KIKWETE AREJEA NYUMBANI BAADA YA KUPOKEA UENYEKITI WA EAC


Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akipokea bendera ya Afrika Mashariki (EAC) kutoka kwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ikiwa ni ishara ya kumkabidhi Uenyekiti wa EAC kwenye mkutano wa kawaida wa 16 wa Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki uliofanyika Ijumaa, Februari 20, 2015. 


Kutoka kushoto ni mgeni mwalikwa, Rais wa Sudani Kusini, Salva Kiir, Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, Rais Jakaya Kikwete (Tanzania), Rais Uhuru Kenyatta (Kenya) Rais Yoweri Museveni (Uganda) Rais Paul Kagame (Rwanda) na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) Dk Richard Sezibera 


Rais Jakaya Kikwete, Naibu Rais wa Kenya, William Rutto na maafisa wengine wakiwa kwenye Jengo la mikutano wa kimataifa la Kenyatta International Convention Center (KICC) Nairobi, Kenya wakati wa kuimba wimbo wa taifa la Tanzania

Picha zote: Ikulu

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA