OSTAZ JUMA ATUPIA DONGO KWA WAPENDA MADEM WA KIZUNGU

Ostaz akipata Selfie katika eneo la Sanamu ya Kumbukumbu ya hayati Mahatma Gandhi ambaye baada ya kufa na kuchomwa moto, sehemu ya majivu yake inaelezwa yalikuja kumwagwa Mto Nile.


Promota Ostaz Juma (pichani), ametupia maneno kwenye akaunti yake ya Insta na facebook yanayoashiria kuwaponda ma brazamen wenye tabia ya kutoka na mademu wa kizungu, especially wenye umri mkubwa. Kwa mtizamo wake ameonesha tabia hiyo ni sawa na kujishushia heshima Watanzania kwani wazungu wanapokuja nchini huchukua dada zetu wenye mri mdogo.
"ndio maana kwa upande wangu mimi, penz langu la dhati nimeelekeza kwa mke wangu mpendwa Mariam Daudi Mchitinyi," sehemu ya maneno aliyotupia yalisema.
PICHA: Facebook/Instagram
Comments
Post a Comment