BINTI WA MIAKA 10 AJILIPUA NA KUUA 4 HUKU 46 WAKIJERUHIWA


Vitendo vya kuwaaminisha watoto wadogo na kuwatumia katika kutimiza malengo kusudiwa vinazidi kushamiri ambapo safari hii binti wa miaka 10 huko nchini Nigeria amejilipua katikati ya soko kwenye mji wa Potiskum na kuua watu wanne huku 46 wakiachwa na majeraha makubwa.

Rekodi za hospitali na shuhuda za watu waliojeruhiwa zinasema mtoto huyo alishuka kwenye pikipiki ya matairi matatu mbele ya duka moja la simu kisha akajilipua.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA