LUPITA NYONG'O ASHINDA TUZO ZA SAG 2015, MWENEKANO NA VAZI LAKE LAWA KIVUTIO

pita
Lupita Nyongo ameendelea kuonyesha kuwa yeye ni bora zaidi Ulimwenguni na safari ameshinda tena katika tuzo za filamu za SAG zilizofanyika Los Angeles, Marekani baada ya kushinda mwigizaji bora akishirikiana na Jared Leto.
Katika tuzo hizo zilizofanyika jana Lupita alikua kivutio kwa watu wengi kutokana na vazi lake refu lililoandaliwa na mwanamitindo Ellie Saab na mwonekano tofauti wa nywele zake ambazo mara nyingi alikua akionekana na nywele fupi.
lupi2
pitaa
Lupita Nyong”o akiwa na Jared Leto katika tuzo hizo

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA