PICHA:KUTOKA LOCATION VIDEO YA VITAMINI MUSIC YAANZA KUSHOOTIWA, JOTI NDANI NA MASTER WENGINE

.
.
Sina shaka na wewe mtu wangu huenda umesikiliza single ya Belle 9 inayoitwa Vitamini Music aliyomshirikisha Joh Makinisasa good news ninayokupatia ni kwamba wakali hao wapo location katika maandalizi ya video ya track  hiyo.
Nimekuwekea picha kutoka location 
.
Belle 9 (katikati) akiwa na Joh Makini.
.
.
.
Joti kutoka Origino Komedi akiwa na Young Dee.
.

CHANZO millardayo.com

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA