WIMBO MPYA WA AVRIL FT OMMY DIMPOZ "HELLO BABY"
Hii kazi mpya ya Avril ambayo ameshirikishwa msanii kutoka Tanzania ‘Ommy Dimpoz’ .Avril amesema mapema mwaka huu kuwa ni kazi iliyozungumziwa kwa miaka zaidi ya miwili ila mwaka huu ndio wamepata muda pamoja wa kufanya wimbo.
Comments
Post a Comment