MAZOEZI YA SIMBA SC KWENYE UWANJA WA NANGWANDA, MTWARA


Kocha wa Simba, Mserbia Goran Kopunovic akiongoza kikosi chake katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijao, mjini Mtwara, wakijifua  kuelekea mchezo wa leo dhidi ya Ndanda.
Umati wa mashabiki wakishuhudia mazoezi ya kikosi cha Simba jana kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona huko Mtwara, wakijiandaa na mchezo wa leo, dhidi ya Ndanda.…
Kocha wa Simba, Mserbia Goran Kopunovic akiongoza kikosi chake katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijao, mjini Mtwara, wakijifua  kuelekea mchezo wa leo dhidi ya Ndanda.
Umati wa mashabiki wakishuhudia mazoezi ya kikosi cha Simba jana kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona huko Mtwara, wakijiandaa na mchezo wa leo, dhidi ya Ndanda.
Straika mpya wa Simba, Simon Sserunkuma (wa kwanza kulia), akiwa na wezake katika kunyoosha viungo kabla ya mtanange wa leo dhidi ya Ndanda.
Straika Dan Sserunkuma katika harakati za kuwaziba mdomo wanaombeza kuwa hajafanya kile mashabiki walichotegemea tangu ajiunge na Simba akitoka Gor Mahia ya Kenya.
Kocha wa Simba, Kopunovic ‘aki- control’ mpira katika mazoezi ya timu hiyo kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona wakijiandaa kuwavaa wenyeji wao, Ndanda.
Hii ndio Nangwanda Sijaona, uwanja ambao Azam waliodoka vichwa chini mwanzoni mwa msimu huu, je, Simba watatoka? Jibu ni baadaye.
(PICHA: RICHARD BUKOS/GPL , MTWARA)

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA