VIKOSI VYA ULINZI NA USALAMA VYAHAMI MTAMBO WA KUCHAKATA GESI



Vikosi vya Jeshi la Ulinzi, Magereza, Polisi na wataalamu wengine wanaendelea na kazi ya kudhibiti mmomonyoko wa ardhi uliotokea hivi karibuni katika kijiji cha Msimbati, Mkoani Mtwara baada ya kunyesha mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali.



Eneo la ardhi ambalo limemomonyoka na kuzama baharini
  • Taarifa ya Mohamed Saif / Afisa Mawasiliano katika Wizara ya Nishati na Madini

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA