Vanessa Mdee, Jux, Nahreel na Aika wamepiga show Zanzibar ilikuwa hivi.

.
.
Usiku wa Jan 17 wakali wa Bongo Fleva Vanessa Mdee, Jux, Nahreel na Aika wamepiga show ya nguvu iliyopewa jina la Love Kwa Ma Fans iliyofanyika kwenye uwanja wa Ngome Kongwe, Zanzibar.
Miongoni mwa wasanii walio share jukwaa kuamsha hisi za mashabiki kutokana na burudani kali ni Baby J pamoja na msanii kutoka Endless Fame Mirror.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye show hiyo.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Nahreel kwenye stage.
.
Aika akitoa burudani ya nguvu.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Jux akiimba kwa hisia.
.
.
.
.
.
.
.
Jux.
.
Mashabiki.
DSC_0334
Vanessa Mdee akiwa jukwaani.
DSC_0317
Vanessa Mdee jukwaani.

.
Vanessa Mdee akiimba kwa hisia.
.
.
.
Jux na Vanessa Mdee wakitoa burudani kwa mashabiki.
.
Vanessa Mdee na Jux wakiwa jukwaani.
.
Vanessa Mdee akitoa burudani ya nguvu kwa mashabiki.
.
Jux akitoa burudani jukwaani.
.
.
.
Aika na Nahreel.

.
Vanessa Mdee.
.
Jux.
DSC_0039
Sahbiki akipiga picha aina ya Selfie na msanii Jux.

.
Jux akiwa na Baby J .
.
Baby J akiwa na Dancers wake.
.
.
DSC_0053
.
DSC_0054
.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA