MAAJABU:BINTI ATANGAZA KUFUNGA NDOA NA BABA YAKE BAADA YA KUWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI KWA MUDA WA MIAKA 12

Msichana huyo anayeishi katika mji wa New Jersey ambaye alifanya mahojiano na jarida la New York alieleza kuwa amekua katika mahusiano na baba yake huyo kwa miaka 12 sasa mara baada ya mama yake kufariki na sasa wamemua kuvunja ukimya kwa kufunga ndoa.
“Ndugu wa familia yetu kwa upande wa mama walijua tupo na ukaribu kama baba na mtoto wake lakini kwa upande wa ndugu wa baba walijua sisi ni wapenzi na walikua wakituchukulia kama wapenzi wengine,”alisema binti huyo ambaye jina lake halikuweza kuwekwa hadharani.
Alisema baada ya kufunga harusi wamepanga kuhama katika mji wa New Jersey ambapo watu wengi wamekua wkaipinga mahusiano yao na kwenda kuishi sehemu nyingine.
Comments
Post a Comment