NEW VIDEO: J.LO NA IGGY AZALEA WAONYESHA ASSET ZAO (BOOTY) WALIZOJAALIWA ZAIDI YA NICKI MINAJ KWENYE "ANACONDA"

Jennifer Lopez na Iggy Azalea wameonyesha jeuri ya kuwa na makalio yenye mvuto kumzidi  Nicki Minaj aliyoyaonyesha katika video ya "Anaconda" kupitia video yao mpya inayojulikana kwa jina la “booty” 

Video hii yenye dakika 4:15 imejazwa shot maarufu kama closeup ambazo zinaonyesha makalio ya J. Lo na Iggy Azalea kwa ukaribu Zaidi. J.Lo ambaye ana zaidi ya miaka 40 lakini mwana mama huyu bado anaendelea kuonyesha asset yake ambayo bado inakimbiza mabinti wa miaka 20

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA