GABRIELLE UNION NAYE AINGIA KATIKA SEKESEKE LA PICHA ZAKE ZA UTUPU KULEAK KWENYE INTERNET


0920-gabrielle-union-tmz-01
Gabrielle Union ambaye ni mke wa mchezaji mpira wa kikapu nchini Marekani Dwayne Wade, hivi karibuni waliitembelea  vivutio mbalimbali hapa nchini wakati wapo fungate.

Union amekubwa na kashfa ya kupiga picha za utupu ambazo zimekuwa leaked kwenye internet, Union ameuambia mtandao wa TMZ kuwa naye amekuwa muanga wa picha zake za nusu uchi alizokuwa akizituma kwa mumuwe Dwayne Wade na sio vinginevyo na kuwa leaked hivi karibuni , Union pamoja na wanasheria wake wana wasiliana na FBI kuakikisha aliyezivujisha picha hizo anakamatwa na hatua za kisheria zinachukuliwa dhidi yake.

Union na Wade wametoa tamko kwamba , "it has come to our attention that our private moments, that were shared and deleted solely between my husband and myself, have been leaked by some vultures."

Union and Wade wanaendelea kwa kusema, "For anyone out there also being affected by these and other hacking and hate crimes - We send our love, support and prayers.  We have done nothing wrong."


Chanzo:tmz

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA