MWENDESHA BAJAJ AJERUHIWA KATIKA AJALI TEGETA

Dereva wa Bajaj iliyogongwa na Coaster eneo la Tegeta jana akiwa na majeraha mkononi.
Bajaj ikiwa imeharibika vibaya baada ya kugongwa na Coaster.

AJALI hii imetokea jana eneo la Tegeta jijini Dar es Salaam ikilihusisha daladala aina ya Toyota  Coaster lililokuwa likiendeshwa kwa mwendo kasi na kuigonga Bajaj ambapo dereva wa Bajaj na mpiga debe mmoja aliyekuwa eneo hilo wote  walijeruhiwa.

chanzo:globalpublishers.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA