MSANII AUGUST ALSINA AZINDUKA BAADA YA KUWA ICU KWA MUDA WA SIKU TATU


0920-august-alsina-instagram-01August Alsina msanii wa muziki wa RnB anayekuja kwa kasi ya ajabu nchni Marekani amezinduka baada ya kuwa katika chumba cha uangalizi wa hali ya juu ICU baada ya kuwa maututi ndani ya siku tatu bila kuzinduka. August alizimia ghafla kwenye stage uko New York City wakati akitumbuiza na kukimbizwa hospitali.

August ametupia picha hii baada ya kuweza kupata ufahamu hapo jana,ikionyesha bado akiwa amewekewa mashine ya kupumlia ( breathing machine.)


Chanzo: TMZ

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA