MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA KAZI MBALIMBALI ZA SERIKALI KUTOKA UTUMISHI WA UMMA,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi
ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT),
Wakala wa majengo Tanzania (TBA), Wizara, Idara zinazojitegemea,
Wakala za Serikali na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDAs & LGAs)
anatarajia kuendesha usaili na hatimae kuwapangia vituo vya kazi waombaji
kazi watakaofaulu usaili.
Wasailiwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia yafuatayo:
1. Usaili utaanza saa moja kamili asubuhi (1:00) na utafanyika mahali na
tarehe kama inavyoonesha katika nafasi husika.
2. Kuja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi mfano: kitambulisho cha mkazi,
kupigia kura, kazi, hati ya kusafiria n.k
3. Kuja na Vyeti Halisi (original certificates) vya kuanzia kidato cha nne, sita,
Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na
sifa za mwombaji.
4. “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo
za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS)
HAVITAKUBALIWA.
6. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
7. Kila msailiwa azingatie tarehe na eneo alilopangiwa kufanya usaili.
2
8. Kila msailiwa aje na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate)
9. Kwa wale waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao
vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU & NECTA)
10. Wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue
kuwa hawakukidhi vigezo, hivyo wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi
zitakapotangazwa
CLICK HAPA KUTIZAMA MAJINA
Comments
Post a Comment