MWAKILISHI MWINGINE WA BIG BROTHER AFRICA 2014 HOTSHOTS KUTOKA TANZANIA NI HUYU HAPA

Wiki iliyopita Idris Sultan kutoka Arusha, Tanzania alitajwa kuwa mmoja wa wawakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa, mwakilishi wa pili ametajwa leo hii ambaye anaitwa Irene Laveda.


“Bubbly Tanzanian Laveda tells us her alter-ego is a go-getter. Her personal motto is to “live everyday like it were it is your last.,” imeandikwa kwenye website ya BBA. Bofya hapa kutazama akiongea.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA