WIZ KHALIFA LOADED LUX & REMY MA AMONG KUSHIRIKI KWENYE KILINGE (CYPHER) CHA BET HIP HOP AWARDS 2014

BET Cyphers

Majina ya watakao gombania tuzo za BET hip hop awards mwaka huu yakiwa yashatangazwa pamoja na wale ambao watakaoivuruga stage ya BET hip hop awards 2014 kama Snoop Dogg, Common, Jay Electronica, Bobby Shmurda pia yametolewa majina ya Emcees watakao shiriki katika michano katika kilinge.

Orodha kamili ya washiriki wa Kilinge (cypher) The BET Hip Hop Awards 2014:
Wiz Khalifa, Juicy J, Ty Dolla Sign, Tuki, Berner, Chevy Woods, Lil’ Mama, G. Eazy, Kevin Gates, Genesis, Loaded Lux, Troy Ave, Dee-1, Logic, Detroit Che, DJ Scratch, David Banner, Vic Mensa, Treach, Snow Tha Product, Remy Ma, Papoose, King Los, Corey Charron, T-Rex, Rain 910, Tsu Surf, Goodz, Dreezy, Dillon Cooper, Two-9, Andy Mineo, Jarren Benton, Emilio Rojas, and Conceited.
BET Hip Hop Awards 2014 itafanyika siku ya Jumanne, October 14 at 8/7 Central.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA