PICHA: FIESTA MORO ILIVYOFUNIKA

Mashabiki waliojitokeza katika Serengeti…
Msanii wa Bongo Fleva, Linah Sanga akicheza na mmoja ya shabiki wake Ole Themba usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.
Mashabiki waliojitokeza katika Serengeti Fiesta Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.
Msanii wa Bongo Fleva, Afande Sele akiwapa raha mashabiki wake.
Mashabiki wakiendelea kupagawa na burudani.
Mkali kutoka Morogoro, Stamina akiwapa burudani mashabiki wake sambamba Nay Wamitego.
Staa wa Bongo Fleva, Mr. Blue naye ndani.
Mashabiki waliojitokeza katika Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo wakicheza.
Mtangazaji wa Clouds FM, Adam Mchomvu 'Baba Jonii' akifanya yake.
(PICHA NA MUSA MATEJA/GPL, MOROGORO)

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA