DAVIDO AANDIKA UJUMBE TWITTER KUWA HANA BEEF NA WIZKID, SOMA HAPA

Msanii Davido amethibitisha kuwa hana tofauti zozote kati yake na WizKid ambaye wiki chache nyuma iliripotiwa kuwa wamegombana na wanatupiana maneno.Davido ametumia twitter account yake kutoa pongezi kwa Wizkid na P Square kwa kutoa album zao mpya.

Comments
Post a Comment