ASHANTI NAYE AZUA GUMZO BAADA YA KUONYESHA UMBO LAKE KWA NGUO ILIYOMBANA

Amekuwa kwenye vichwa vya habari hivi karibuni baada ya kusema haitaji msaada wa record lebel kusimama kimuziki baadae akaweza kutoa album yake mpya.

Hivi karibuni Ashanti alikuwa kwenye kipindi cha television cha The View huku muonekano wake ukiwa gumzo zaidi.
 

 

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA