TYGA AFANYA VIDEO NA X GIRLFIEND WA DRAKE NA KUZIDI KUMPANDISHA HASIRA DRAKE.


Rapper Tyga ambaye hivi karibuni alisema kuwa hampendi rapper mwenzake wa Young Money 'Drake' amezidi kuonyesha kuwa hana mpango wa kuwa mshkaji wake baada ya kumchukua aliyekuwa mpenzi wa Drake 'Dollicia Bryan' nakufanya naye video.
Dollicia ataonekana kwenye video mpya ya Tyga "Make It Work" ikiwa video hii inamistari ya kumdiss Drake kama "Ni**a never was my homey ... all these bitches know you corny ni**a."

Hivi karibuni Drake amekuwa akitumiana message mitandaoni na mama mtoto wa Tyga Blac Chyna. Inasemekana Tyga alimwambia Dollicia kuwa nakutumia wewe kwenye video ili Drake akasirike.

chanzo:sammisago

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA