PICHA ZA MAONYESHO YA MTWARA OIL & GAS BUSINESS & CAREER EXPO
|
Mkuu wa
Wilaya ya Mtwara Wilman Ndile akizungumza na wafanyakazi wa benki ya Stanbick
jana wakati alipotembelea banda lao katika maonesho ya wadau Gesi na Oil
yanayoendelea mkoani Mtwara.
|
|
Mkuu wa Mkoa
wa Mtwara Wilman Ndile akizungumza na Ofisa wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali
TSN, Francis Kihinga wakati walipokutana kwenye mkutano wa wadau wa gesi
unaoendelea mkoani Mtwara, TSN ni moja kati ya wadhamini wa mkutano huo.
|
nne.JPG
|
Baadhi ya
wananchi waliojitokeza kwenye maonesho ya bidhaa za wadau mbalimbali wa madini
yaliyofanyika sambamba na mkutano huo. Maonesho hayo yalifanyika katika umbi wa
Mikutano wa Chuo cha Veta Mtwara wakati Mkutano wa wadau ulifanyika katika
hoteli ya Naf.
|
|
Afisa
Matekelezi wa NSSF mkoani Mtwara, Jamila Mfanga akimkabidhi wa Mkuu wa Wilaya
ya Mtwara Wilman Ndile vipeperushi vya bidhaa zake.
|
| Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Wilman Ndile (kushoto) akiangalia bango la mafunzo ya Chuo Kikuu Huria ambao walifungua chuo chao mkoani humo, nao walikuwa ni baadhi ya waliojitokeza kwenye maonesho hayo pia pembeni yake ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho Tolly Mbwete. |
|
Mkuu wa
Wilaya ya Mtwara Wilman Ndile (kushoto) akiwaonesha baadhi ya wageni
waliohudhuria mkutano wa kujadilia masuala ya gesi na Mafuta unaoendelea mkoani
Mtwara, katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta binafsi nchini
(TPSF) Godfrey Simbeye pembeni Mwenyekito wa Bodi ya Ushauri wa Madini, Richard
Kasesela.
|
Comments
Post a Comment