FAHAMU CHANZO CHA TATIZO LA KUTHIRIKA TEZI DUME, DALILI NA TIBA (PROSTATITIS) #POWERED BY VICTORIA THERAPIES

LIKE UKURASA WA VICTORIA THERAPIES WA FACEBOOK  KWA KUPATA TAARIFA SAHIHI JUU YA AFYA YAKO NA MAHUSIANO BOFYA HAPA KU LIKE 

TWENDE SASA KWENYE SOMO LETU LA LEO

Ni ile hali ya tezi dume kuathirika kutokana na vyanzo mbalimbali mfano, bacteria n.k,kuathirika kwa hii tezi dume kunaweza sababisha hata utendaji kazi wake kupungua,na inapatikana chini ya kibofu cha mkojo kazi yake kubwa ni kuzalisha manii kwa ajili ya kurutubisha na kusafilisha mbegu za kiume kutoka kwenye korodani,tatizo hili lina waathiri wanaume bila kujali lika lakini wanaume kuanzia miaka 50 wameonekana kuathirika zaidi na hili tatizo

CHANZO CHA TATIZO
Chanzo kikubwa cha hili tatizo ni kushambuliwa kwa tezi dume na bacteria mbalimbali ambao wanaweza kuwa ni visababishi vya magonjwa mbalimbali ya zinaa mfano,kaswende,kisonono,pangusa n.k au bacteria wanao shambulia mfumo wa mkojo(UTI)wanaweza kupenya na kuifikia tezi dume na kuishambulia,vyanzo vingine ni kushuka kwa kinga za mwili na ajali zinazopelekea kuumia katika eneo ambalo tezi dume ipo pia kunamazingira hatarishi yanayo pelekea mwanaume kuathirika na hili tatizo;
Kama mwanaume alishawahi kuwa na hili tatizo na hakupata matibabu sahihi
Kuwa na maambukizi katika kibofu cha mkojo au mrija unao tiririsha mkojo (urethra)
Kutokunywa maji ya kutosha
Kuwa na wapenzi wengi na kushiriki tendo la ndoa na mpenzi mwenye maambukizi ya magonjwa ya zinaa na HIV/AIDS

DALILI ZA HILI TATIZO
Maumivu wakati wa kutoa haja ndogo au kuhisi kama mkojo ni wa moto na maumivu wakati wa kufika kileleni
Kwenda haja ndogo mara kwa mara
Mtiririko wa mkojo kuwa dhaifu
Maumivu chini ya kitovu
Maumivu ya kiuno na chini ya mgongo
Maumivu ya sehemu ambayo ipo katikati ya korodani na sehemu ya kutolea choo kubwa
Maumivu ya korodani na uume
Mwanaume mwenye tatizo hili anaweza akawa na homa

MATIBABU
Matibabu ya hili tatizo yanategemea na chanzo chake hivyo kwa mwanaume yeyote mwanye dalili zinazofanana na zilizo tajwa hapo juu awahi mapema kutibiwa au atembelee VICTORIA THERAPIES iliyoko mtoni kijichi DSM kwa ajili ya vipimo,matibabu pamoja na ushauri jinsi ya kuondokana na hilo tatizo

MADHARA ENDAPO MATIBABU YATACHELEWA
Kusambaa kwa bacteria mbalimbali katika damu(bacteremia)
Kuwa na jipu kwenye tezi dume(prostatic abscess)
Ugumba kutokana na kuathirika kwa manii,mbegu za kiume
Pia tatizo hili linaweza likasababisha kansa ya tezi dume(prostate cancer )kwa ajili ya maswali,ushauri,na maelezo kuhusiana na hili tatizo na matatizo mengine piga 0658 027027

Photo: FAHAMU CHANZO CHA TATIZO LA KUTHIRIKA TEZI DUME, DALILI NA TIBA  (PROSTATITIS) #POWERED BY VICTORIA THERAPIES 

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA