RAPPER TYGA NA CHRIS BROWN KUJA NA TRACK MPYA WIKI IJAYO "NOTHING LIKE ME"

Tyga na Chris Brown mnamo mwaka 2010 walitengeneza mixtape yao ikijulikana kama "Fan of a Fan".

 kupitia mtandao wa twitter Tyga ametweet "Nothin Like Me" coming next week ambayo atakuwa amemshirikisha Chris Brown na Ty Dolla Sign imetengenezwa na DJ Mustard

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA