MRISHO NGASSA NA JIKO LAKE LA PILI WAMEREMETA JIJINI DAR
- Get link
- X
- Other Apps
Mrisho Ngassa na mkewe Ladhia Mngazija wakiwa na nyuso za tabasamu baada ya kufunga ndoa leo.
MSHAMBULIAJI wa Taifa Stars na Yanga SC, Mrisho Ngassa leo amefunga ndoa ya pili na Ladhia Mngazija eneo la Tegeta jijini Dar es Salaam.
...Wawili hao wakiwa wamekumbatiana baada ya kufunga ndoa
CHANZO:GLOBALPUBLISHERS
- Get link
- X
- Other Apps


Comments
Post a Comment