CHRISTIANO RONALDO AWEKA REKODI NYINGINE

Cristiano Ronaldo ameifungia Ureno goli la ushindi dhidi ya Armenia Nov 14, 2014 na Goli hilo limemfanya afikishe jumla ya magoli 23 katika michuano ya ulaya na hivyo kuweka rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa michuano hiyo.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA