SNOOP DOG NDANI YA BEEF ZITO NA IGGY AZALEA BAADA YA KUPOST PICHA HII
Snoop amepost picha katika mtandao wa Instagram inamuonyesha mwanamke ambaye ni Albino ikiwa na maandishi juu yake kwamba "IGGY AZALEA NO MAKE UP" baada ya Iggy kuona picha hiyo alicomment na kusema "why would you post such a mean pic on insta when you send your body
guards to ask me for pictures every time we are at shows." Iggy akimaanisha kwamba kwa nini umepost picha hiyo instagram wakati Snoop anamtuma mlinzi wako kuomba kupiga picha mara kadhaa wanapokuwa katika show zao.
Iggy aliendelea kwa kusema, "I'm disappointed you'd be such an ass for no reason." Snoop hajajibu chochote baada ya Iggy ku comment.

Comments
Post a Comment