AMBER ROSE ALALAMIKA MAUMIVU YA KICHWA ANAYOYAPATA BAADA YA KUACHANA NA WIZ KHALIFA

amber rose 
Amber Rose na mumewe Wiz Khalifa wameachana September 23, ndoa ambayo imedumu kwa muda wa miezi 14,  Amber ameachana na mumewe Wiz baada ya kumtuhumu kumsaliti na kutembea nje ya ndoa, Hivi karibuni Amber ametumia maneno 140 katika account yake yake ya twitter kueleza hisia zake mara baada ya kuachana na mumewe kwa maumivu anayoyapata hivi sasa. 
 “The mornings are especially hard,”tweeted the  30-year-old. She went on to say “The pain…I wake up every morning feeling like my best friend died…I never knew what a true heartache felt like until now.”
maneno hayo ya kiingereza yana maana  hii
"Maumivu ya kichwa ninayoyapa nikiamka kila asubuhi, nakuwa nafikiri kana kwamba rafiki yangu kipenzi amefariki, nilikuwa sijui maumivu ya ukweli ya kichwa jinsi yalivyo mpaka hivi sasa"

Usisahau kuclick tangazo lolote unaloliona kwenye blog hii.



Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA