PICHA: THROWBACKTHURSDAY ANGALIA PICHA ZA ZAMANI ZA WATU MAARUFU HAPA TANZANIA ENZI HIZO.

Kila Alhamis inakuwa ni siku ya kukumbuka yale matukio ya zamani kwa kutumia picha! Katika picha hizi utamwona, Adam mchomvu mtangazaji wa clouds fm enzi  za utoto na mapengo yake, ipo picha ya Diamond Platnumz na Rommy Jones.

Pia yupo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Jakaya Mrisho kikwete. Na picha nyingine ya Fid Q na Diamond Platnumz, yupo pia Kala Jeremiah na picha nyingine yupo Stanboy akiwa na Wakazi ndani ya Marekani.
ENJOY KUZIONA PICHA HIZI.
Fid Q na Diamond
Adam Mchomvu
Stan Boy na Wakazi
Dj Fetty na NchaKali
Kala Jeremiah.
Rais Kikwete katika
Rommy Jones na Diamond Platnumz

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA