MGONJWA WA EBOLA AGUNDULIKA HUKO HISPANIA.

BBC wamerepoti uwepo wa mgonjwa mpya wa Ebola ambaye jina lake alijawekwa wazi mpaka hivi sasa  huko Hispania , mgonjwa huyu ambaye ni muuguzi amegundulika kuwa na virusi hivi vya Ebola mara baada ya kuwa na homa kali sana na kuwaishwa kupelekwa hospitalini ya Madrid na kuwekwa chumba maalum cha uangalizi na kufanyiwa vipimo vya awali na kugundulika kuwa na virus hivyo vya Ebola.
Muuguzi huyo alikuwa ni mmoja wapo wa timu ya wauguzi iliyokuwa ikimtibu padri wa kihispania huko Manuel Garcia Viejo ambaye aliambukizwa Ebola akiwa nchini Sierra Leone.

Takwimu zinaonyesha uwepo wa wagonjwa wenye Ebola 7,500 duniani kote.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA