PICHA:SITTI MTEMVU ATWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014




Nafasi ya mshindi wa pili imekwenda kwa Lilian Kamazima ambaye amejishindia shilingi milioni 6 huku nafasi ya tatu ikichukuliwa na Jihan Dimachk. Dorice Mollel ameshika nafasi ya nne wakati Nasreen Abdul akichukua nafasi ya tano.
Kwa ushindi huo, Sitti atapeperusha bendera ya Tanzania katika mashindano ya Miss World 2015.

Pichani
ni Washiriki waliochaguliwa kuingia kwenye hatua ya tano bora katika
shindano la Redds Miss Tanzania 2014 linaloendelea hivi sasa ndani ya
ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar.
Mmoja wa Washiriki waliongia katika nafasi ya tanno bora shindano la Redds Miss Tanzania 2014 wakijibu maswali mbalimbali .…


Pichani
ni Washiriki waliochaguliwa kuingia kwenye hatua ya tano bora katika
shindano la Redds Miss Tanzania 2014 linaloendelea hivi sasa ndani ya
ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar.
Mmoja wa Washiriki waliongia katika nafasi ya tanno bora shindano la Redds Miss Tanzania 2014 wakijibu maswali mbalimbali.
Msanii
wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz akitumbuiza jukwaani akiwa na Vanessa Mdee
mbele ya wageni waalikwa (hawapo pichani),waliofika kushuhudia shindano
hilo.







Comments
Post a Comment