MPENZI MSOMAJI FANYA HIKI MARA KWA MARA UNAPOTEMBELEA BLOG HII

Habari ya muda huu mpenzi wa blog hii, mchana huu nina ujumbe ambao ningependa kila mmoja wetu kuufahamu, kimsingi ni kwamba kila unapotembelea hapa basi utakapoona matangazo mbalimbali ya adsense basi bofya (click) mara kadhaa, hii ina maana kwamba sisi bloggers kuna upande ambao tunategemea kuingiza japo kipato kutoka google kupitia matangazo ambayo yanawekwa kwenye blog hizi, matangazo haya yanakuwa yanabadilika badilika hivyo utakapotembelea basi usisite kubofya tangazo lolote lile unaloliona.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA