NICK CANON AFUTA TATTOO YA MARIAH CAREY MGONGONI NA KUCHORA MPYA

Baada ya sekeseke ambalo limewakumba ma star mbalimbali wa Marekani kuvunjika kwa mahusiano yao ya kimapenzi kama Amber Rose na mumewe Wiz Khalifa, Jordin Sparks na mchumba wake Jason Derulo, kwa upande wa Mariah Carey na Nick Canon ambao wameachana mwezi uliopita bado  story ni ile ile  ya mmoja wapo wa mwanandoa kutokuwa mwaminifu na kuendekeza  michepuko.

Nick ambaye alikuwa amechora tattoo ya jina la Mariah mkewe mgongoni kwake ameamua kuifuta na kuchora nyingine kama inavyoonekana kwenye hii picha.

tattoo mpya inaonyesha picha ya yesu mgongoni.
kabla ya kuachana

Mapenzi yakiwa moto moto kabla ya kuachana.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA