MSHIRIKI WA BIG BROTHER AFRIKA KUTOKA TANZANIA LAVEDA NA ALUSA WA KENYA WATOLEWA NJE YA JUMBA HILO

Wiki moja baada ya washiriki Lillian kutoka Nigeria, Esther kutoka Uganda na Sabina kutoka Kenya kutolewa kwenye mjengo huo, Mtanzania Laveda aliyekuwa na mahusiano ya karibu na Permithias pamoja na Mkenya Alusa wamekutana na ‘rungu’ la kura lililowatupa nje ya jumba hilo.

Comments
Post a Comment