MAHMOUD JUMA MLALI ABAINISHA VIPAUMBELE VYAKE VYA KUITUMIKIA SERIKALI YA MTAA WA REGENT ESTATE

Mjumbe na Balozi wa nyumba kumi ndugu Mahmoud Juma Mlali atangaza na kunadi vipaumbele vyake katika kuwahudumia wakazi wa eneo la Regent Estate katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 31 October 2014, kampeni zinaanza leo mpaka tarehe 27, hivyo mkazi wa Regent Estate jitokezeni kwa wingi kusikiliza sera za Bwana Mahmoud katika ofsi ya tawi Regent Estate leo saa 10 jioni.


Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA