Msanii wa Bongo Fleva, Baba Levo akitumbuiza kwa staili yake kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Dodoma usiku wa kuamkia leo.
Mo
Music akitoa burudani kwa wakzi wa Dodoma waliyofulika kwenye Tamasha
la Serengeti Fiesta 2014 ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Msanii zao la Serengeti Super Nyota G-Lucky akifanya makamuzi ndani ya uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Y-Tony akiwajibika kwenye tamasha la Serengeti Fiesta lililokuwa likifanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Chipukizi wa Bongo Fleva, Baraka Da Prince akiwajibika jukwaani.
Msanii
zao la nyumba ya kukuza vipaji Tanzania (THT), Kadja Maumivu
akipagawisha kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014, usiku wa kuamkia
leo.
Young
Killer akimwaga mistari ya Hip Hop kwa mashabiki waliyojitokeza kwenye
Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 lililokuwa likifanyika ndani ya Uwanja
wa Jamhuri mjini Dodoma.
Mr Blue akifanya yake jukwaani.
Recho akiimba jukwaani huku mmoja wa wanenguaji wake akiwajibika kwa staili kali.
Mkongwe wa Bongo Fleva, Dully Sykes akipagawisha jukwaani.
Vanessa Mdee katikati akipagawisha kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta ndani ya Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Chukua japo dakika 10 za kusoma kitabu cha mwanamalundi, mtu maarufu aliyewahi kutokea katika historia ya kabila la kisukuma, hizi ni picha nilizozitoa katika kitabu hicho chenye karatasi kama 7, ni mojawapo ya kitabu nilichotamani kukisoma kupata ukweli juu ya mtu huyu, kwa bahati nzuri nimekikuta kwa mama yangu mkubwa katika kabati lake la vitabu, hivyo nikaona sio mbaya nikiweza kushare na marafiki zangu ambao nao wanatamani kujua historia ya mtu huyu maarufu kuwahi kutokea hapa Tanzania.
Comments
Post a Comment