Mtanzania MUIGIZAJI anaeishi San Francisco Ernest Napoleon, anaomba Kura zenu



Ernest Napoleon ni Mtanzania MUIGIZAJI anaeishi San Francisco, amefanya movie inayoitwa Going Bongo bit.ly/goingbongoitunes. Hivi sasa yupo kwenye mchakacho wa kushirikishwa katika filamu ya kampuni ya Forest Whitaker inayoitwa “The Driver”.

Ernest Napoleon akiwa na  Forest Steven  Whitaker actor, producer, na director wa filamu za kiMarekaniIli kufanikiwa kwenye filamu hiyo, alikuwa anahitaji kura za waTanzania na waKenya kwa ujumla ili kumfikisha Shindano hilo. Tunaomba msaada wenu wa ku SHARE habari hii pamoja na maelekezo ya jinsi ya kunipigia kura: 

1)Bonyeza link hiyo hapo Bit.ly/castErnest kisha una log in kwa kutumia Facebook account.
2)Unabonyeza "newest" Unasukuma kidogo.
3)Unaibeba picha (drag) hadi kwenye kibox kilichopo juu na kuipachika. p.s: tumia computer badala ya simu kuvote itapendeza zaidi Tafadhalini fata maagizo ili kumnyanyua Mtanzania mwezetu, kwani kesho ndio mwisho wa kuchukua mahesabu ya upigaji kura yako Bofya hapa and Vote now.. (P.T)

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA