SEMINA YA FURSA 2014 YAFANYIKA MJINI SINGIDA
Baadhi
ya Washiriki wa Semina ya Kamata Fursa, Jitathimini, Jiamini Jiongeze
wakifuatilia yaliyokuwa yakizungumza ndani ukumbi wa hoteli ya KBH,
ilioko nje kidogo ya mji wa Singida.
Baadhi ya watoa mada mbalimbali katika semina hiyo wakiwa meza kuu.
Baadhi
ya Vijana walioitumia Fursa ya kutengeneza fulana za tamasha la Fiesta
baada ya kubaini kuna uhaba mkubwa wa fulana hizo.GPL(P.T)
Baadhi
ya Washiriki wa Semina wakiwa wamenyoosha mikono juu wakiunga mkono moja
ya mada iliyokuwa ikizungumza kwenye semina hiyo iliyofanyika katika
ukumbi wa hoteli ya KBH,ilioko nje kidogo ya mji wa Singida.
Muonekano wa ukumbi mlimofanyika semina ya Fursa 2014 mapema leo asubuhi.
Baadhi ya
Washiriki wa Semina ya KamataFursa,Jitathimini, Jiamini ,Jiongeze
wakiwa ndani ya ukumbi wa hoteli ya KBH,iliyoko nje kidogo ya
mji wa Singida.
mji wa Singida.
Msanii wa
Muziki wa Kizazi kipya kutoka kundi la Hip hop lijulikanalo kwa jina la
WEUSI, Niki wa Pili akizungumza mbele ya mamia ya washiriki wa semina
ya fursa iliyofanyika katika hoteli ya KBH nje kidogo ya mjini wa
Singida, Niki amewataka vijana mbalimbali kuhakikisha ndoto zao
haziishii njiani na badala yake wazifanyiekazi ili kujiletea maendeleo
katika maisha yao ya kila siku,pia amewataka kuitumia vyema fursa
wanayoipata katika njia mbalimbali.
Mmoja wa washiriki akiulaza swali.
Mkurugenzi wa kampuni ya Automobile Garage, Joseph Msuya akifafanua jambo.
Baadhi ya Washiriki wa Semina wakiwa ndani ya ukumbi wa hoteli ya KBH.
Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba akifafanua jambo kwa washiriki (hawapo pichani).
Mmoja wa washiriki akiuliza swali.
Mwakilishi
kutoka Shirika la Taifa la hifadhi ya Jamii (NSSF), Bwa.Ally Mkulemba
akizungumza faida mbalimbali za kujiunga na shirika hilo la NSSF.
Msanii wa
Bongo Fleva, Baba Levo ni mmoja wa mabalozi wa shirika hilo la NSSF
akielezea yeye na wasanii wenzake wanavyonufaika na fursa mbalimbali
zipatikanazo na shirika hilo.
Baadhi ya Washiriki wa Semina ya wakimsikiliza Msanii Mrisho Mpoto.
(PICHA NA MUSA MATEJA/GPL)
Comments
Post a Comment