FAHAMU GARI MPYA YA ARNOLD SHWARZENEGGER YENYE THAMANI YA DOLA 2,000,000

Arnold Schwarzenegger amenunua gari mpya aina ya Bugatti Veyron sports ambayo amemnunulia girlfriend wake anayeitwa Heather Milligan yenye thamani  ya dola za kimarekani 2,000,000.
Katika gari ili Arnold ameonekana upande wa siti ya abiria huku demu wake huyo ndio akiwa ana drive mkoko huo.
chanzo:tmz

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA