Miss Hispania atwaa taji la Miss World 2015

Miss World 2015 Mireia Lalaguna Royo akivishwa taji lake.

Miss
World 2015 Mireia Lalaguna Royo (katikati) akiwa katika pozi na mshindi
wa pili Sofia Nikitchuk kutoka Urusi (kushoto) na mshindi wa tatu Maria
Harfanti kutoka Indonesia (kulia).

Mireia Lalaguna Royo akipozi na washindi wenzake walioingia 5 bora.

Miss Afrika Kusini, Liesl Laurie aliyeingia katika 10 bora.

Miss Sudan Kusini, Ajah Deng (katikati) yeye aliingia 20 bora.

5 bora.

10 bora.
MREMBO
kutoka Hispania, Mireia Lalaguna Royo amefanikiwa kutwaa taji la Miss
World 2015 katika fainali zilizofanyika jana huko Sanya nchini China.
Katika kinyang’anyiro hicho, warembo kutoka Afrika Kusini na Sudani Kusini nao waling’ara kwa kuingia 20 bora.
Miss Afrika Kusini, Liesl Laurie aliingia katika 10 bora wakati mrembo kutoka Sudan Kusini, Ajah Deng yeye akitinga 20 bora.
Comments
Post a Comment