TANZANIA KUANZA KUPOKEA "MEDIA TOURISTS" KUTOKA ULAYA NA MAREKANI KUFATILIA HABARI ZA RAIS MAGUFULI




Tunzania Kupokea ' Media Tourists' Kutoka Ulaya Na Marekani Watakaokuja Kufuatilia Habari Za Magufuli...!

Inavyoonekana John Magufuli amekuwa habari kubwa hata nje ya bara la Afrika. Kama ataendelea kwenda kwa speed hii, basi, tusishangae sekta ya utalii ikaanza kuingiza mapato yatokanayo na watalii wanahabari wa kutika ughaibuni watakaokuja nchini kuja kufuatilia habari za Rais wetu wa Awamu ya Tano, John Magufuli. Pichani ni habari za Magufuli nilizotumiwa na mmoja wa wajumbe wangu kutoka kwenye moja ya magazeti ya nchini Australia.

chanzo:mjengwablog

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA