AMANDA AANIKA SIRI NZITO YA KUTOWAPENDA WANAUME



Mwanadada kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Amanda Poshi.

 Amanda alisema stori ya mwanaume ambaye alikuwa ni mchanganyiko wa Mgiriki na Mbongo aliyejulikana kwa jina la Alan kila akiikumbuka huwa inamuumiza  moyoni kwani ni mwanaume aliyekuwa na mapenzi ya dhati.

“Huwa naumia sana nikimkumbuka Alan mchumba ambaye alikuwa ameshajitambulisha kwetu lakini akafariki kwa ajali nusu saa baada ya kuzungumza naye kwenye simu akiwa Ugiriki huku akiniachia ujauzito wa miezi mitano lakini ilipofika miezi saba mtoto alifia tumboni. “Tangu hapo sipendi wanaume na sijawahi kumpata mwanaume mwenye upendo wa dhati kama huyo,” alisema Amanda.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA