JESCA GEORGE AZIKWA KIJIJI CHA NYEGINA,MUSOMA VIJIJINI

Aliyekuwa Mke wa Thomas Exaud,  (Jesca George)  aliyefariki tarehe 06/02/2015 katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa kupooza upande wake wa kushoto hatimaye jana amepumzishwa katika nyumba yake ya milele katika kijiji cha Nyegina kinachopatikana katika mkoa wa Mara, wilaya ya Musoma vijijini.

Marehemu ameacha mtoto wa miezi sita na Mume

Pumzika kwa Amani Jesca daima tutakukumbuka


mapadri wakiongoza mazishi.



Mume wa marehemu akiweka shada la maua kwenye kabuli akiwa na mwanaye Evance


Mamia ya waombolezaji walioudhuria safari ya mwisho ya Jesca


Shemeji wa marehemu akitoa shukrani

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA