ARSENAL, MANCHESTER CITY WAPETA, MAN UTD WAPOTEZA MECHI YAO

Wachezaji wa Manchester City David Silva (kushoto), Sergio Aguero (wa pili kushoto) and Carlos Tevez (kulia) wakishangilia bao lao la kwanza lililofungwa na Sergio Aguero wakati wa mechi yao na West Bromwich Albion leo. (Picha na Adrian Dennis/AFP/Getty Images).
Wolverhampton Wanderers' Serbian Midfielder Nenad Milijas (R) Vies With Arsenal's Cameroonian Midfielder Alex Song (L)
Kiungo wa Arsenal, Alex Song (kushoto) akiwania mpira na kiungo wa Wolverhampton Wanderers, Nenad Milijas (kulia) wakati wa mechi yao. (Picha na Ben Stansall/AFP/Getty Images).
Kocha Mkuu wa Manchester United, Sir Alex Ferguson (kulia) akimpa maelekezo mshambuliaji wa timu hiyo Wayne Rooney wakati wa mechi yao dhidi ya Wigan leo.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA