BREAKING NEWS:AMINI AFUNGA NDOA KIMYA KIMYA

Msanii wa kizazi kipya, kutoka THT Amini hatimaye ameamua kuachana na ukapela kwa kuvuta jiko kimya kimya. harusi hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Kanisa la Mt. Joseph jijini Dar es Salaam. Picha hiyo inawaonyesha maharusi wakitoka kanisani kwa nderemo na vifijo.

...

Maharusi wakiingia katika gari lao mara baada ya kufunga pingu za maisha.…
Msanii wa kizazi kipya, kutoka THT Amini hatimaye ameamua kuachana na ukapela kwa kuvuta jiko kimya kimya. harusi hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Kanisa la Mt. Joseph jijini Dar es Salaam. Picha hiyo inawaonyesha maharusi wakitoka kanisani kwa nderemo na vifijo.
...
Hahahahahahahahahahahahaha
 
Maharusi wakiingia katika gari lao mara baada ya kufunga pingu za maisha.

Bwana Harusi akifurahia kwa shangwe

...
Ilikuwa ni nderemo na vifijo

Picha ya ukumbusho kwa wazazi na maharusi
Amini akiwa ametulia na kifaa chake

Tunameremeta

Msanii wa kizazi kipya, kutoka THT Amini akiwa na maiwaifu wake pamoja na msanii mwenzake Ditto.

Bibi harusi akiingia kanisani huku akisaidiwa gauni lake na Ditto.

...Bibi Harusi akitoka kanisani.

...Amini akitoka ndani ya gari ili kuingia kanisani.

...Akisindikiza

...Wanameremeta

...wakijisogeza ndani ya kanisa.

...Taratibu kanisani

...wakijongea kufunga pingu za maisha.
STORY NA PICHA NI KUTOKA blog ya kajunason.blogspot.com

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA