Leo ni siku ya kumbukumbu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Mwalimu wa Historia skuli alinifunza kuwa ni ziliunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 26 Aprili 1964.
Unaweza kujipakulia nakala zifuatazo ili kuongeza maarifa kuhusu historia na mambo ya Muungano huu:
Unaweza kujipakulia nakala zifuatazo ili kuongeza maarifa kuhusu historia na mambo ya Muungano huu:
- INTELLIGENCE STUDY ZANZIBAR: T H E HUNDRED DAYS' REVOLUTION (ESAU XXX) DIRECTORATE OF INTELLIGENCE - foia.cia.gov/CPE/ESAU/esau-28.pdf
- The Union between Tanganyika and Zanzibar LEGALITY OF ADDITIONAL MATTERS OUTSIDETHE ARTICLES OF UNIONBY MUSSA, ALI. UBWA - zanzinet.org/files/legality_union.pdf
- KWAHERI UKOLONI, KWAHERI UHURU! ZANZIBAR NA MAPINZUZI YA AFRABIA: Dkt. Harith Ghassany - kwaherikwaheri.com/download.htm
- Mohamed Said anjibu vipi "East African Muslim Welfare Society" ilivunjwa - youtube.com/user/MzeeBarwani
- Baadhi ya maoni ya watu na vikundi kuhusu Muungano - Muungano in site:mzalendo.net
Comments
Post a Comment