NAWATAKIA WEEKEND NJEMA

Nawatakia wapenzi wa blog hii weekend njema,kwa wale mnaoenda kanisani basi huu ndo muda muafaka wa kumkumbuka muumba wako kwani kwa week nzima ulikuwa busy kwa shughuli mbalimbali za kulijenga taifa hivyo basi muda huu wa mapumziko ya mwisho wa week utumie vizuri kwa kwenda kanisani au kutembelea ndugu na jamaa zako ambao umekuwa ukiwapigia simu tu na saa zingine kuwapigia kimya kabisa.

WEEKEND NJEMA

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA