JK AONGOZA WATANZANIA KATIKA SHEREHE ZA MUUNGANO JIJINI DAR LEO
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akiwapungia wananchi wakati alipokuwa akiingia katika uwanja wa Uhuru
jijini Dar es salaam kuongoza maadhimisho ya mika 48 ya Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar leo asubuhi.
Amiri
jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua vikosi vya ulinzi
na usalama wakati wa maadhimisho ya sikukuu ya miaka 48 ya Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mama Maria Nyerere leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.
Comments
Post a Comment